Shule ya watoto Mbeya wanao Kula vizur sana
Shule hi ya Watoto wadogo iliyopo jijini Mbeya, maeneo ya Sabasaba,
Imeanzishwa na Mstaafu Afisa Tawala wa Shule ya St.Marys Mbeya anayefahamika kwa jina la Madam Ngonyani.
Kutokana na Ratiba yake ya vyakula katika shule yake Basi bila Shaka ndie shule ya Kwanza ya Watoto Kula vizuri.
Ratiba iko ivi
Juma tatu :pilau rost
Jumanne :ndizi rost
Jumatano: wali rost
Alhamisi :Viazi Rost
Ijumaa :Ugali Rost.
Nb.Matunda Ni Lazima, asubuhi Ni uji wa lishe na Maziwa fresh.
Ivyo mwenyewe umeona Ratiba iyo ebu tuambie kwingine wapi????
Comments
Post a Comment