Posts

Shule ya watoto Mbeya wanao Kula vizur sana

Image
 Shule hi ya Watoto wadogo iliyopo jijini Mbeya, maeneo ya Sabasaba, Imeanzishwa na Mstaafu Afisa Tawala wa Shule ya St.Marys Mbeya anayefahamika kwa jina la Madam Ngonyani. Kutokana na Ratiba yake ya vyakula katika shule yake Basi bila Shaka ndie shule ya Kwanza ya Watoto Kula vizuri. Ratiba iko ivi Juma tatu :pilau rost Jumanne :ndizi rost Jumatano: wali rost Alhamisi :Viazi Rost Ijumaa :Ugali Rost. Nb.Matunda Ni Lazima, asubuhi Ni uji wa lishe na Maziwa fresh. Ivyo mwenyewe umeona Ratiba iyo ebu tuambie kwingine wapi????

Kaimu Mkurugenzi TIC Aeleza Fursa na Mpango Raisi kwa Wawekezaji kwenye ...

Image
MAZINGIRA NI NINI (MAANA YA MAZINGIRA)  

Fahamu mengi kuhusu Wanyama Mbali mbali

Image
 Jenumewahi kujua majina ya watoto wabwanyamq .Bali Mbali yanaitwane? Au he wafaham millio ya sauti zao I aitwaje? Au sehemu wanazo ishi zinaitwaj e? Baasi usipitwe Na hii maana Ile shule Bora Mbeya ya St.Mary's International School Mbeya Campus imekuandalia somo zuuuri kuhusu W https://youtu.be/6FjMQ_bEjak anyama itaze video hii

haaa utacheka alichofanyiwa Mchungaji Live

Image

Wazazi msiachane (barua ya wazi toka kwa wanafunz wa darasa la 7) St Mar...

Image