Posts

Showing posts from December, 2022

Mahafari Bora kuwahi kutokea

Image
 Hii ndio maafari Bora ya Shule ya Watoto 2022

Shule ya watoto Mbeya wanao Kula vizur sana

Image
 Shule hi ya Watoto wadogo iliyopo jijini Mbeya, maeneo ya Sabasaba, Imeanzishwa na Mstaafu Afisa Tawala wa Shule ya St.Marys Mbeya anayefahamika kwa jina la Madam Ngonyani. Kutokana na Ratiba yake ya vyakula katika shule yake Basi bila Shaka ndie shule ya Kwanza ya Watoto Kula vizuri. Ratiba iko ivi Juma tatu :pilau rost Jumanne :ndizi rost Jumatano: wali rost Alhamisi :Viazi Rost Ijumaa :Ugali Rost. Nb.Matunda Ni Lazima, asubuhi Ni uji wa lishe na Maziwa fresh. Ivyo mwenyewe umeona Ratiba iyo ebu tuambie kwingine wapi????