Ungana na Mzee Mwenzangu Tujadili Elimu
Kuna utofauti mkubwa Kati ya mfumo wa Elimu wa sasa na wazamani
Zamani Elimu ilikuwa inamjenga kijana kujitegemea zaidi kuliko sasa Elimu inamjenga kijana kutegemea serikali pekee. Angalia majadiliano haya ya wazee wenzangu kisha toa Naomi yako
https://youtu.be/YED2-lS-uzw
Comments
Post a Comment