Ungana na Mzee Mwenzangu Tujadili Elimu
Kuna utofauti mkubwa Kati ya mfumo wa Elimu wa sasa na wazamani Zamani Elimu ilikuwa inamjenga kijana kujitegemea zaidi kuliko sasa Elimu inamjenga kijana kutegemea serikali pekee. Angalia majadiliano haya ya wazee wenzangu kisha toa Naomi yako https://youtu.be/ YED2-lS-uzw